Je Uliwahi kuyajua mambo haya, Utastajaabu sana ukiyasoma

1: Mtu akiwa analia halafu chozi la kwanza kudondoka likatokea jicho la kulia basi kilio kile ni cha furaha na likitokea jicho la kushoto linaasharia ni majonzi 2: Tunavalishana Pete za ndoa kwenye kidole cha kushoto kwa sababu hiki kidole ni pekee kilichoonganishwa moja kwa moja na mshipa wa vein unao peleka damu kwenye moyo moja kwa moja 3: Duniani tupo billion 7 hivyo ukisema ukutane na kila mtu kwa kila sekunde moja basi utachukua miaka 32 kukutana na sisi wote 4: Utafiti umeonyesha kuwa binadam wengi tunakuwa na furaha kila inapofika 7:26 pm (saa moja jion) kila jumamosi 5: Kumbe mende akikugusa labda hata kwa bahati mbaya basi ni lazima akimbilie mahali salama na akifika anafanya kama kujisafisha 6: Kila mwaka kwa wastani wanakufa watu 7000 kutokana na madhara ya miandiko ya ki daktari ambayo inapelekea kuchambuliwa na kueleweka vibaya mfano na wauza madawa wanatafsiri vibaya na wakakupa dawa nyingine tofauti na iliyoandikwa 7: Ukiingia Google ukawa search hizi n...